1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Abidjan: Densi kwa vijana wa 'mitaani'

03:30

This browser does not support the video element.

16 Oktoba 2020

Mtaa wa Abobo mjini Abidjan ulikumbwa na machafuko kufuatia uchaguzi uliokumbwa na utata wa 2010, hali iliyowaacha watoto wengi bila makao. Yves Thomas Ble alianzisha kundi la densi kwa jina Mam‘art ili kuwapa watoto hao mahali salama kuishi huku akiwafundisha jinsi ya kuwasilisha hoja kupitia densi. Anatusimulia mengi!

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW