Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ameshinda tuzo ya Amani ya Nobel ya mwaka 2019. Abiy ameshinda tuzo hiyo kufuatia juhudi zake za kupata ufumbuzi wa mzozo wa mpakani ambao umedumu kwa miongo mingi kati ya nchi yake na Eritrea. Mengi zaidi ni kwenye vidio hii ya Kurunzi