1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ABUJA: Haki za binadamu zakiukwa Darfur

9 Machi 2005

Umoja wa Afrika haukuweza kukubaliana njia ya kuwaadhibu wale wanaokiuka haki za binadamu katika jimbo la Darfur magharibi mwa Sudan.Hayo ni kwa mujibu wa mkuu wa Umoja huo wenye wanachama 53.Mashirika yanayotoa misaada yanawatuhumu wanamgambo wanaoiunga mkono serikali ya Khartoum kuwa wanawabaka wanawake,wanawauwa raia na wanachoma moto vijiji katika eneo la Darfur.Kiasi ya watu milioni 2 wamekimbia makwao tangu wanamgambo kuanza mashambulio yao miaka miwili iliyopita.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW