1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ABUJA: Mfanya maandamano apigwa risasi na polisi

14 Oktoba 2006

Polisi nchini Nigeria wamempiga risasi na kumuua mwaandamanaji mmoja katika maandamano yaliofanywa Jos,mji mkuu wa jimbo la Plateau.Polisi walifyatua risasi kuutawanya umati uliokuwa ukipinga hatua ya kutaka kumshtaki gavana wa jimbo hilo kutumia vibaya madaraka.Mashahidi wamesema,waandamanaji hao baadae walikusanyika upya na wakalitia moto jengo moja.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW