ABUJA: Serikali mpya haitostahmilia rushwa
27 Julai 2007Matangazo
Rais wa Nigeria,Umaru Yar’Adua amelitawaza baraza jipya la mawaziri 39 na kuonya kuwa atatekeleza sera “isiyostahmili rushwa hata kidogo.“Yar’Adua amewateua mawaziri wadogo 3 wa nishati na hivyo yeye ndio atadhibiti sekta za petroli,gesi na nishati.