SiasaTanzaniaACT- Wazalendo watoa tathmini kura ya mapema Zanzibar03:34This browser does not support the video element.SiasaTanzania28.10.202528 Oktoba 2025Chama cha ACT Wazalendo kimetoa tathmini yake kuhusu uchaguzi wa mapema uliofanyika Zanzibar ukihusisha makundi maalum, ikiwemo vikosi vya usalama, watumishi wa serikali na maafisa wa tume ya uchaguzi.Nakili kiunganishiMatangazo