Addis Ababa: Mji uliosheheni historia na tamaduni04:38This browser does not support the video element.Sylvia Mwehozi13.03.202513 Machi 2025Addis Ababa ni mji wenye tamaduni za sasa na kale Pamoja na historia. Ungana na Sosina Challa, mwazilishi wa klabu ya wasichana ya Ethiopia ya mchezo wa kuteleza kwenye vibao “Skateboard” akituzunguzsha Katikati mwa jiji hilo la Addis Ababa. Nakili kiunganishiMatangazo