ADDIS ABABA. Umoja wa nchi za Afrika wapokea msaada kutoka Ufaransa
15 Septemba 2005Matangazo
Umoja wa nchi za Afrika umepokea msaada wa Euro milioni 5 kutoka Ufaransa ili kuweza kuimarisha bajeti yake.
Akikabidhi msaada huo kwenye makao makuu ya Umoja huo mjini Addis Ababa
Balozi wa Ufaranse nchini Ethiopia amesema hatua hiyo inaonyesha jinsi nchi yake inavyozingatia umuhimu wa uhusiano wake wa kirafiki na bara la Afrika