1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ADHABU YA KIFO KWA MAGENDO YA BANGI

22 Februari 2005

RIYADH:

Saudi Arabia imemnyonga hii leo raia wa India aliekutikana na hatia ya kuingiza nchini kimagendo bangi.

Taarifa ya wizara ya ndani ya saudi Arabia imearifu kwamba mtu huyo amenyongwa huko Dammam,mashariki mwa Saudia Arabia.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW