1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Adui wa Museveni ni Museveni mwenyewe - Bobi Wine

06:34

This browser does not support the video element.

22 Juni 2022

Nyota wa muziki wa kizazi kipya wa Uganda ambaye pia ni kiongozi mkuu wa upinzani, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine, anasema yeye si adui wa Rais Yoweri Museveni bali kiongozi huyo wa muda mrefu nchini Uganda ni adui wa nafsi yake mwenyewe kutokana na matendo yake ya ukandamizaji. Msikilize hapa kupitia KURUNZI ya DW.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW