Ujenzi wa Uwanja wa Kimataifa wa kandanda jijini Arusha Tanzania unaendelea, ukiliweka Taifa hilo katika ramani ya waandaaji wa mashindano ya kombe la Afrika AFCON 2027.
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.