1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afisa aliyeuwawa Uganda azikwa

00:54

This browser does not support the video element.

10 Septemba 2018

Afisa wa jeshi la polisi Mohammad Kirumira alikuwa mkosoaji mkubwa wa jeshi hilo na aliwahi kusema mara kadhaa kwamba atauwawa,amezikwa na umma mkubwa wa Waganda,siku ya Jumapili.Kirumira aliwahi kuandika kwenye Facebook kwamba wenzake kwenye jeshi la polisi na wala rushwa na wanaoshirikiana na magenge ya wahalifu

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW