1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika kuanzisha soko huru

19 Machi 2018

Mawaziri wa mashauri ya kigeni wa nchi zote za Afrika wako mjini Kigali kuandaa ripoti ya pamoja kuhusu kuanzishwa kwa soko huru la kiuchumi barani Afrika. Ripoti hiyo itapitishwa na marais katika mkutano wao.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Louise Mushikiwabo
Picha: picture-alliance/dpa/T. Hase

J3.19.03.2018 AU Foreign ministers' meeting Kigali - MP3-Stereo

This browser does not support the audio element.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW