1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika kupewa msaada wa kulinda mazingira

2 Desemba 2015

Nchi tajiri zimeahidi kuipatia Afrika fedha ili iweze kuendeleza nishati mbadala kwa nia ya kulinda tabia ya nchi. Hayo ni katika mkutano wa tabia ya nchi unaofanyika Paris, Ufaransa.

Rais wa Ufaransa, Francois Hollande
Picha: Reuters/P. Wojazer

[No title]

This browser does not support the audio element.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW