Afrika Kusini: Ghasia mjini Johannesburg
1 Machi 2012![Julius Malema,kiongozi wa chama cha ANC wa vijana](https://static.dw.com/image/15723473_800.webp)
Matangazo
Kitendo hicho kimezusha mmeguko ndani ya chama na kuzusha vurugu katika maeneo kadhaa ya nchini humo.
Sudi Mnette amezungumza hivi punde na mwandishi wetu wa mjini Johannesburg, Issac Khomo, ambaye alielzea hali ilivyo.
(Kusikiliza mazungumzo hayo, tadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Josephat Charo