Afrika Kusini: Sihle Tshabalala08.12.20158 Desemba 2015Alifungwa miaka 11 gerezani baada kupatikana na kosa la ukabaji. Wakati akitumikia kifungo chake gerezani alijifunza mafunzo ya kompyuta. Baadae akaanza kuwafunza wafungwa wenzake na kuendelea baada ya kutoka gerezani.Nakili kiunganishiIchaguwe DW kwenye GooglePicha: DWMatangazoSA: Sihle Tshabalala - from convict to change maker03:03This browser does not support the video element.