1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Kusini: Vijana wapambana na dhuluma za kijinsia

04:31

This browser does not support the video element.

10 Februari 2021

Dhuluma za kijinsia nchini Afrika Kusini zinaongezeka kwa namna ya kusikitisha, na kuifanya kuwa miongoni mwa maeneo hatari zaidi. Hali hiyo imesababisha vijana katika mji wa Port Elizabeth kuonyesha ghadhabu zao kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya Habari na kuwachochea wenzao kuzungumza dhidi ya kadhia hiyo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW