1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika na Marekani kushirikiana kuangamiza ugaidi

Charles Ngereza20 Mei 2016

Wakuu wa majeshi ya nchi kavu wa nchi za Afrika wemafanya mkutano na jeshi la Marekani kuimarisha usalama Afrika. Mkutano huo wa kilele umefanyika Arusha, Tanzania. Wajumbe wameahidi kufanya kazi pamoja.

Meja Jenerali Darryl A William wa Marekani na Meja Jenerali James Aloisi Mwakibolwa wa Tanzania
Picha: DW/C. Ngereza

[No title]

This browser does not support the audio element.

Wajumbe wa mkutano wa wakuu wa majeshi ya nchi kavu Afrika na MarekaniPicha: DW/C. Ngereza
Meja Jenerali Darryl A William (kushoto) wa Marekani na Meja Jenerali James Aloisi Mwakibolwa, mkuu wa jeshi la nchi kavu TanzaniaPicha: DW/C. Ngereza
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW