MichezoAfrikaAfrika yaweka historia Soka la wanawake duniani02:21This browser does not support the video element.MichezoAfrikaIddi Ssessanga04.08.20234 Agosti 2023Timu tatu kati ya nne za Afrika zimetinga hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia la 2023. Nyingi kuliko ilivyowahi kutokea. Simba wa Taranga ya Morocco, Super Falcons ya Nigeria na Banyana Banyana ya Afrika Kusini wamelifanya bara zima kujivunia.Nakili kiunganishiMatangazo