Afya – Kipindi 1 – Chakula chenye afya16.03.201116 Machi 2011Steve, Manuel, Hassan, Simo na Jimmy wanaishi katika bweni mjini. Vijijini kwao hakuna shule. Kuishi mbali na wazazi kunaweza kuwa kugumu. Chakula na maji yasiyo salama ni tatizo kwao.Nakili kiunganishiMatangazo