Afya – Kipindi 3 – Nyezo za usafi16.03.201116 Machi 2011Katika kipindi hiki, Steve na rafiki zake wanamhoji mama mwenye nyumba wanayoishi kuhusu hali mbaya ya choo na sehemu ya kuogea. Mama huyo amekwenda kuchukua kodi. Tutaangalia ni kwa jinsi gani choo kinahusiana na afya.Nakili kiunganishiMatangazo