Afya – Kipindi 5 – Utapiamlo na Kitambi16.03.201116 Machi 2011Simo, Steve na Manuel wanapata kiamsha kinywa kikubwa. Jambo hili linazua mjadala mkubwa. Pesa walizonazo hazitoshi kuwafanya wapate chakula bora. Tutaangalia pia tatizo lengine - unene.Nakili kiunganishiMatangazo