1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya – Kipindi 9 – Chanjo ya Pepopunda

16 Machi 2011

Tukirejea katika bweni ya Mandela, sehemu ndogo iliyochafu ambako wanafunzi watano wanaishi, Jimmy anaumwa sana na rafiki zake wanafanya kila wawezalo kumsaidia.

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi