AfyaAfrikaAfya ya akili ni tatizo linalokuwa kwa wafanyakazi03:40This browser does not support the video element.AfyaAfrikaFathiya Omar21.10.202421 Oktoba 2024Kundi la wafanyakazi linakabiliwa na changamoto kubwa ya afya ya akili, hii ni kutokana na changamoto kadhaa wanazokutana nazo. Kundi la waandishi wa habari ni miongoni mwa waathirika hao, lakini vipi wanakabiliana na changamoto hiyo?Nakili kiunganishiMatangazo