Mgombea urais wa NASA ajikuta peke yake kwenye jukwaa la mdahalo baada ya Uhuru Kenyatta kuupiga chini mdahalo huo,Israel yaondowa vifaa vyake vya ukaguzi katika milango ya kuingia eneo takatifu la Jerusalem na Rais Macron awakalisha meza moja viongozi wa serikali mbili zinazotafautiana Libya.Papo kwa Papo 25.07.2017