1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ahadi za uongo Urusi

01:57

This browser does not support the video element.

24 Julai 2018

Wiki kadhaa baada ya ulimwengu kushuhudia vipaji vikubwa vya vijana katika mchezo wa mpira huko Urusi kwenye Kombe la Dunia vijana wa Kiafrika walioshawishiwa kwenda nchini humo kucheza mpira kwa ahadi za mikataba ya mamilioni ya pesa, wanasema kwao, Urusi ni sehemu ya kuziharibu na kuzipoteza ndoto zao.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW