1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

AJALI YA NDEGE-UZBEKISTAN:

14 Januari 2004

TASHKENT: Watu 37 wamefariki katika ajali ya ndege nchini Uzbekistan.Miongoni mwa abiria waliofariki ni afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa.Kwa mujibu wa maafisa, ndege hiyo ilipata ajali ilipokaribia kutua kwenye uwanja wa ndege wa Tashkent. Ndege hiyo ya "Uzbekistan Airways" ilitokea Termes karibu na mpaka wa Afghanistan. Sababu ya ajali kwa hivi sasa bado haijulikani.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW