1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ajali ya Ndege ya shirika la Kenya Airways nchini Kamerun

7 Mei 2007

Serikali ya Kamerun imetoa taarifa kwamba ndege ya shirika la Kenya iliyotoweka jumamosi alfajiri imepatikana kwenye msitu wa kusini mashariki mwa mji wa Douala.

Ndege ya Kenya Airways iliyoanguka huko Kamerun
Ndege ya Kenya Airways iliyoanguka huko KamerunPicha: AP

Zainab Aziz amezungumza na waziri wa uchukuzi wa Kenya Chirau Ali Mwakwere ambaye anaongoza ujumbe wa Kenya nchini Kamerun.

Mheshimiwa Mwakwere anaelezea ni yepi yaliyofikiwa hadi sasa.