SiasaAl-Sissi ataka suluhisho wakimbizi Afrika01:11This browser does not support the video element.SiasaMohammed Khelef12.02.201912 Februari 2019Katika siku ya mwisho ya mkutano wa kilele wa mataifa ya Afrika mjini Addis Ababa hapo jana, Al-Sissi aliwaambia viongozi wenzake kwamba wanapaswa kukabiliana na tatizo la wakimbizi, wakimbizi wa ndani na wahamiaji kwa njia jumuishi. Nakili kiunganishiMatangazo