1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Alqaeda yabeba jukumu Algeria

9 Septemba 2007

ALGIERS:

Tawi la Afrika ya kaskazini la Al Qaeda limejitwika jukumu la hujuma 2 za mabimu za hivi karibuni nchini Algeria zilizosababisha vifo vya hadi watu 50.

Si chini ya watu 30 wameuwawa na weengi kujeruhiwa hapo jana pale bomu ndamni ya motokaa kuripuliwa katika mji wa mwambao wa pwani wa Dellys,kaskazini mwa Algeria.

Hujuma hiii imezuka siku 2 tu baada ya hujuma nyengine ya bomu kuua si chini ya watu 20 katika mji wa mashariki mwa Algeria wakati wakusubiri kumlahki rais Abdelazizi Bouteflika
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW