Amadou Moussa Coulibaly, Mali
23 Mei 2013![Fotograf ist Yaya Konaté, Korrespondent der Französisch-Redaktion in Mali. Das Bild zeigt Amadou Moussa Coulibaly und wurde in Bamako, Mali aufgenommen. Zulieferer: Friederike Müller](https://static.dw.com/image/16819525_800.webp)
Matangazo
"Matarajio yangu kwa Umoja wa Afrika,hayatatekelezwa hata kidogo. Wakati umewadia kuupatia Umoja wa Afrika sura mpya ili kuimarisha umoja. Vijana wanaweza kuchangia pakubwa. Matatizo ya vijana ni ya aina moja kokote kule waliko. Wakibadilishana fikira, wanaweza kupata ufumbuzi na hasa kwaajili ya Umoja wa Afrika."