HistoriaAmina: Malkia shujaa wa Zazzau02:08This browser does not support the video element.HistoriaYusra Buwayhid05.02.20205 Februari 2020Katika wakati ambapo kila kitu kikiendeshwa na wanaume , Amina malkia wa Zazzau aliibuka. Shujaa wa kijeshi kutoka kabila la Hausa. Aliongoza jeshi kubwa, lilonyakuwa maeneo mengi na kuweza kuupanua ufalme wake.Nakili kiunganishiMatangazo