AMISOM wamaliza muda wake wa kuwepo nchini Somalia
31 Oktoba 2012Matangazo
Hatua kubwa imepigwa na ujumbe huo kuweza kulidhibiti kundi linalopigana nchini humo kuidhoofisha serikali ya nchi hiyo inayoungwa mkono na umoja wa Afrika na umoja wa mataifa . Kuna mipango gani basi baada ya muda huo kumalizika? Sekione Kitojo alizungumza na mjumbe maalum wa umoja wa mataifa nchini Somalia Balozi Augustine Mahiga, ambaye alikuwa na haya ya kusema.
(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi : Sekione Kitojo
Mhariri: Saumu Yusuf