1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

AMSTERDAM: Mtuhumiwa afikishwa mahakamani

11 Julai 2005

Mwananchi wa Uholanzi mwenye asili ya kimoroko leo anafikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza mjini Amsterdam kujibu tuhuma kwamba alimwuua mtengeneza filamu bwana Theo van Gogh mwezi novemba mwaka jana.

Mtuhumiwa huyo mwenye umri wa miaka 26 anadaiwa kuwa alimpiga risasi na baadaye kumchoma visu mtengeneza filamu huyo kwa sababu ya filamu aliyotengeneza kuukosoa uislamu.

Ikiwa atapatikana na hatia mtuhumiwa huyo atapewa adhabu ya kifungo cha maisha jela.

.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW