Chama Tawala cha Afrika Kusini, ANC, kinasimama kidete nyuma ya Rais Jacob Zuma na kupinga shinikizo la wapinzani wanaotaka ajiuzulu. Mchambuzi wetu Nickson Katembo anaeleza kwanini Zuma bado anaungwa mkono.
Matangazo
M M T/ J3.05.04.2017-South Africa ANC backs Zuma in reshuffle dispute - MP3-Stereo