1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Angel Nyigu msichana aliyepata mafanikio kwenye Dansi

04:36

This browser does not support the video element.

22 Januari 2021

Msichana Angel Nyigu ameamua kuipandisha hadhi sekta ya unenguaji ama 'Dansi' na kuifanya kuwa kazi rasmi. Amefungua darasa la uchezaji na wengi wamepita mikononi mwake na hata kuweza kumzidi kimafanikio. Huyu ndie #msichanajasiri aliezungumza na mwandishi wetu chipukizi Hadija Halifa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW