SiasaAngola yawafukuza wahamiaji wa DRC01:45This browser does not support the video element.SiasaJacob Safari23.10.201823 Oktoba 2018Wahamiaji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo waliokuwa wamehamia nchini Angola kwa muda, wamekuwa wkaifukuzwa na serikali ya nchi hiyo inayosema kwamba wahamiaji hao wanazimaliza raslimali za nchi hiyo na kuleta janga nchini humo.Nakili kiunganishiMatangazo