1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Annan aikosoa Israel

20 Agosti 2006

UM/NEW YORK:

Katibu-mkuu wa Um Kofi Annan amesema hujuma ya makamando wa Israel katika bonde la Bekaa nchini Lebanon kumekiuka mapatano yaliosimamiwa na UM ya kuacha mapigano.Alieelezea wasi wasi wake huko kwa waziri mkuu Olmert wa Israel.Amezungumza pia na waziri mkuu wa Lebanon Fuad Siniora.

Wapiganaji 3 wa Hizbollah na mwanajeshi mmoja wa Israel waliuwawa katika mapigano hayo yaliozuka
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW