1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ANNAN KUJIUZULU ?

11 Machi 2005

UMOJA WA MATAIFA:

Akikanusha uvumi kwamba, Katibu mkuu wa UM Kofi Annan huenda akajiuzulu,afisa wa hadhi ya juu wa UM ameonya kwamba kuacha kwake madaraka na mapema kuzusha pigo kubwa tangu kwa heba na hata kwa uhuru wa UM. Halkadhalika, amesema Mark Malloch Brown kwamba hatua kama hiyo itawagawa wanachama wa UM.

Kulienea uvumi kwamba katibu mkuu Kofi Annan angejiuzulu kutokana na mashtaka ya rushua katika ule mradi wa mafuta kwa ajili ya kununulia chakula pamoja na kashfa ya kufanya mapenzi miongoni mwa baadhi ya vikosi vya UM vya kuhifadhi amani nchini Kongo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW