1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Argentina na Brazil kujenga mtambo wa nishati ya nyuklia

23 Februari 2008

BUENOS AIRES:

Argentina na Brazil zimekubali kushirikiana zaidi na pamoja,zinataka kujenga mtambo wa kuzalisha nishati ya nyuklia.Rais wa Argentina Bibi Cristina Fernadez de Kirchner na rais mwenzake wa Brazil Lula da Silva wameamua kuunda kampuni ya pamoja itakayorututubisha madini ya Uranium.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW