1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Arusha. Meya ahukumiwa kwenda jela.

17 Novemba 2007

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita imemhukumu meya wa zamani wa mji mmoja nchini Rwanda kwenda jela miaka 11 kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu wakati wa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994.Juvenal Rugambarara mwenye umri wa miaka 48 ambaye ni Mhutu , na aliyekuwa meya wa mji wa Bicumbi alisema kuwa hana hatia kutokana na madai hayo dhidi ya ubinadamu kwa kushindwa kuchukua hatua madhubuti kuwaadhibu wale ambao walituhumiwa kuwa walihusika na mauaji ya Watusti.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW