1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ARUSHA:Mwasisi wa Kundi la waasi Rwanda akanusha mashtaka

30 Septemba 2005

Kiongozi wa zamani wa kundi la waasi wa kihutu aliyekamatwa nchini Gabon mapema mwezi huu hii leo amekanusha mashtaka matano yanayomkabili juu ya kuhusika kwenye mauaji ya halaiki ya mwaka 1994 nchini Rwanda.

Akikanusha mashtaka hayo mbele ya mahakama ya kimataifa inayochunguza visa vya uhalifu nchini Rwanda Joseph Serugendo amesema hana hatia ya makosa yote matano yanayomkabili ikiwa ni pamoja na kuchochea mauwaji.

Serugendo anadaiwa kuwa mwasisi wa kundi la waasi wa Interahamwe na mkurugenzi wa mitambo wa zamani kitu cha televisheni na redio Cha RTLM anashutumiwa kwa kuwachochea wahutu kuwawuwa watsutsi mjini Kigali.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW