1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ashgabat, Turkmenistan. Rais aliyefariki azikwa.

24 Desemba 2006

Mazishi ya rais wa Turkmenistan , saparmurat Niyazov , yamefanyika katika mji mkuu Ashgabat.

Kiongozi huyo aliyefariki akiwa na umri wa miaka 66, ambaye aliiongoza nchi hiyo yenye utajiri mkubwa wa gesi ya ardhini katika taifa hilo la Asia ya kati kwa zaidi ya miongo miwili, amefariki ghafla kwa ugonjwa wa moyo siku ya Alhamis.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW