1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Asia yaadhimisha maafa ya Tsinami.

27 Desemba 2007

Kuala Lumpur.

Eneo la Asia limeadhimisha mwaka wa tatu tangu kutokea maafa ya Tsunami kwa maadhimisho nchini Indonesia , Thailand na Sri Lanka. Kiasi cha watu 250,000 wameuwawa wakati tetemeko la ardhi lililokuwa katika kipimo cha 9.0 katika kipimo cha Richter kusababisha Tsunami hapo Desemba 26, 2004. Zaidi ya nusu ya watu waliouwawa wanatoka katika jimbo la Aceh nchini Indonesia.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW