1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Assoumani aapishwa rais mpya Komoro

Sudi Mnette27 Mei 2016

Kiongozi wa zamani wa mapinduzi katika visiwa vya Komoro, Azali Assoumani, ameingizwa rasmi kazini. Katika hotuba yake kwa taifa ameahidi kuleta mabadiliko. Mchambuzi Aboubakar Omar atoa tathmini yake.

Ramani ya visiwa vya Komoro

[No title]

This browser does not support the audio element.