1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
UtamaduniKenya

Athari ya Sheng kwa Kiswahili

03:29

This browser does not support the video element.

Shisia Wasilwa
29 Aprili 2026

Vijana wa Nairobi wanaendelea kupigia debe Sheng licha ya wasiwasi kuhusu athari zake kwa Kiswahili sanifu. Kwa ufahamu wako, Sheng ni mchanganyiko wa Kiswahili na lugha nyingine, ikiwemo Kiingereza. Je, una uzoefu gani na Sheng, au katika eneo lako mnatumia lugha ya mchanganyiko kama hiyo? Tutumie maoni yako! #DWKiswahili #dwhabari #Kurunzi

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW