Matumizi ya dawa yasiyo sahihi yanaongezeka kwa kasi nchini Tanzania kutokana na sababu mbalimbali, huku makundi matatu yakishutumiwa kwa ongezeko hilo. Makundi hayo ni ya vijana, wafanyakazi na wanawake. Ongezeko jengine linatokana na uwepo wa virusi vya corona.