1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za mvua na mafuriko Mombasa, Pwani ya Kenya

03:10

This browser does not support the video element.

30 Novemba 2023

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika sehemu mbalimbali nchini Kenya imesababisha maafa ya watu 120 na uharibifu wa miundombinu ikiwemo makaazi ya watu. Mkoa wa pwani ni moja kati ya sehemu zilizoathirika zaidi na mvua hizo huku miito ikitolewa kwa wakaazi hasa wa Mombasa kuchukua tahadhari.

Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW