1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

AU yaridhishwa na kura Kenya

5 Machi 2013

Mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Afrika katika uchaguzi wa Kenya, Joaquim Chissano, amesema wameridhishwa na namna upigaji kura ulivyofanyika nchini Kenya na kwamba anatarajia amani.

Rais wa zamani wa Msumbiji, Joaquim Chissano.
Rais wa zamani wa Msumbiji, Joaquim Chissano.Picha: DW/M.Barroso

Katika makala hii maalum ya Kinagaubaga, Rais Chissano anazungumza na Saumu Mwasimba juu ya uchaguzi huu wa Kenya na masuala mbalimbali kuhusiana nao. Kusikiliza makala hiyo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW