JamiiBaada ya masheikh wa uamsho kuachiwa huru watu wana maoni gani?02:25This browser does not support the video element.Jamii17.06.202117 Juni 2021Baada ya Masheikh wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) waliokuwa wanashikiliwa kwa miaka tisa sasa katika magereza ya Ukonga Dar es Salaam kuachiwa huru, yapi yanayozungumzwa? Ahmad Juma alikusanya maoni haya.Nakili kiunganishiMatangazo